Skip to main content

Arsenal: Kocha Unai Emery afichua sababu za Mesut Ozil kutimuliwa klabuni

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 27 October 2019.

Arsenal: Kocha Unai Emery afichua sababu za Mesut Ozil kutimuliwa klabuni

Mechi ya Arsenal ugani Emirates ilikuwa ya kawaida, lakini sasa ni kwa sababu ya Mesut Ozil pekee. Mchezaji huyo wa Arsenal anayelipwa zaidi amechezea kikosi chake mechi moja pekee ya Ligi Kuu na nyingine ya Kombe la Ligi.

Ukosefu wake uwanjani kumechangia madai kuwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 31 huenda akakosa kuwa kifaa bora kwa Emery, huku Muhispania huyo akiendelea kuimarisha klabu hiyo.

Emery amejitokeza kutetea uamuzi wake wa kumubandua Ozil kikosini, sababu zilizofikiwa na uongozi wa Emirates. "Hapa tuna mpangilio maalum kama klabu na pia timu. Kwa sababu kitu cha maana sana ni klabu, timu na matokeo," alisema meneja huyo wa zamani wa PSG.

Gunners watakuwa wenyeji wa Crystal Palace mnamo Jumapili, Oktoba 27, na bado haijabainika endapo Ozil atakuwa uwanjani.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsApp: 0732482690.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →