This archive report was first published on 26 October 2019.
Wakenya walimtumia Rais Uhuru Kenyatta jumbe za heri njema kwa kuzaliwa kwake miaka 58, Oktoba 26, 2019.
Walikataa kumkumbusha heri njema kwa sababu ya kukosa kufikia ahadi zake za kampeni.
Wakiongeza kwamba sasa hajazitimiza mambo mengi, hasa katika muhula wa pili wa utawala wake.
Wengine walielezea majuto yao hasa vijana waliodai kukosa ajira na mambo mengine yakiwemo ukosefu wa usalama.
Wakiongeza kwamba sasa hajazitimiza mambo mengi, hasa katika muhula wa pili wa utawala wake.