Skip to main content

Utamu wa Usiku Mmoja Ugeuka Mzigo wa Kilio kwa Mama aliyefanya Mapenzi ya Usiku Mmoja

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 26 October 2019.

Naomi Ireri, mwanamke mmoja wa Nairobi, alipata ugonjwa wa HIV baada ya kufanya mapenzi ya usiku mmoja na jamaa aliyemwachia virusi.

Alipokuwa na miaka 30, Ireri alikutana na jamaa huyo kwenye steji ya magari na kisha wakafululiza kwenye chumba cha anasa.

Walipofika kwenye chumba hicho, Ireri alisema kuwa kilikuwa cha hali ya cheni sana, lakini bila ya wawili hao kutumia kinga.

Alinipeleka kwenye lojigi ambayo kwanza ilikuwa ya kiwango cha chini sana, na Ireri alisema kuwa hata siwezi kumbuka.

Wawili hao walifika kwenye chumba hicho, lakini ikawa ndume mwenyewe hakuwa amebeba kondomu, huku Ireri akisema wasiwasi wake ulikuwa tu kubeba ujauzito.

Aliniuliza iwapo aende kutafuta kinga, lakini Ireri alisema na ujinga wake alimwambia ni sawa tu bora asishushe ndani yake.

Alipofanya mapenzi na jamaa huyo, Ireri alijipoda na kwenda kukutana na mwanaume mwingine na kushirika penzi ambapo alibeba ujauzito.

Alipompigia simu jamaa huyo wa usiku mmoja, alidinda waende kupimwa pamoja na hivyo kujua kwa kweli ni yeye alimwachia mzigo wa kuishi maisha yake.

Alisema sababu yake ya kujitokeza na kuzungumza ni kutoa ushauri kwa wapenzi wazingatie kutumia kinga.

Alisema wasichana wengi huogopa na kufikiria tu mimba, lakini nataka wajue kuna hatari zaidi.

Ireri alisema bebeni mipira ya kinga kwenye mikoba yenu.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →