This archive report was first published on 26 October 2019.
Alhamisi, Oktoba 24, Kavivya Mwangangi alikamatwa na kuhusishwa na mauaji ya padri Michael Kyengo.
Alipoelezea mahakama jinsi alivyomfunga padri huyo mikono na miguu kabla ya kumkata kwa panga.
Alidai kuwa alilipwa KSh 1,500 na rafikiye kutekeleza mauaji hayo.
Alisema kuwa rafikiye alikuja kwake akiwa na gari na alinipatia kamba na kuniagiza nimfunge jamaa huyo miguu na mikono.
Alielekea hadi mtoni apambo na kumkata kwa panga.
Alipewa KSh 1,500 kwa kutekeleza mauaji hayo.