Skip to main content

Mwanahabari Mambo Mbotela: Kutambua Mashujaa Bila Kuwapa Fedha ni Bure

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 21 October 2019.

Mwanahabari Mambo Mbotela: Kutambua Mashujaa Bila Kuwapa Fedha ni Bure

Leonard Mambo Mbotela, mwanahabari mkongwe, amesema kuwa kutambua mashujaa bila kuwapa fedha ni bure. Alisema hii baada ya kutambuliwa kama mmoja wa mashujaa wa nchi kwa ajili ya kushiriki katika kukuza uhuru wa Kenya.

Aliongea na runinga ya K24, Mbotela alisema kuwa mashujaa wengi wamekuwa wakitambuliwa na kupata majina makubwa lakini kifedha wangali wanataabika. Alisema ingekuwa vyema zaidi iwapo Rais Uhuru Kenyatta angeagiza mashujaa wote wawe wakipokea kiasi fulani ya fedha kila mwezi ili kujikimu maishani.

Alisema, "Mamia ya mashujaa wamekuwa wakitambuliwa na kusifiwa wakati wa kusherehekea Mashujaa Dei. Lakini, kile huuma ni kuwa huwa tunakumbukwa lakini hatuna kitu cha kujivunia." Alisema pia, "Tuna mashujaa wengi kama vile waliopigania uhuru na ingekuwa bora zaidi kama Rais angeagiza wawe wakipokea kama shilingi 100,000 kila mwezi ili waweze kujikimu maishani."

Alisema amekuwa akitambuliwa kama shujaa tangu enzi za rais mstaafu Daniel Moi lakini hajawahi kupata fedha zozote kutoka kwa serikali. Alisema kile tu anajivunia ni tuzo mbili pekee na hivyo hushangaa manufaa ya kutambuliwa kama shujaa ni yepi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →