This archive report was first published on 20 October 2019.
Naibu Rais William Ruto alitua Mombasa Jumapili, Oktoba 20, 2019, kwa sherehe za Mashujaa zitakazoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta, lakini alipokelewa tu na mbunge wa Nyali Mohammed Ali peke yake.
Alipokelewa tu na mbunge wa Nyali Mohammed Ali peke yake, huku viongozi wa eneo la Pwani wakiongozwa na gavana Hassan Joho wakimkosoa DP Ruto kwa kusema kuwa anampinga Raila Odinga.
DP Ruto alikuwa ameandamana na mkewe Rachael Ruto, na hakukuwa na maafisa wa polisi wa ngazi ya juu kwenye uwanja wa ndege wakati ambapo naibu rais alitua.