This archive report was first published on 17 October 2019.
Mei 17, 2019 - Mchezaji wa Liverpool Sadio Mane alikuwa na hisia tofauti wakati wa mechi dhidi ya Burnley, na akikataa kumpigia pasi mchezaji mwenzake Mohamed Salah.
Salah alikataa kumpigia pasi Mane na kisha kutaka kufunga bao, huku Mane akikimbia kujaribu kufunga bao.

Mane alisema walisuluhisha swala hilo kupitia njia ya simu na wakapata kurejesha uhusiano wao wa kawaida.
"Aliniuliza Sadio, mbona umekasirika? Unatakiwa kunipatia mpira, Mo, ambapo alijibu hakuniona. Wajua sina chuki dhida yako. Lakini wajua hisia zake zilikuwa tofauti," Mane alisimulia Canal Plus.
Mane alisema walisuluhisha swala hilo kupitia njia ya simu na wakapata kurejesha uhusiano wao wa kawaida.
"Huwa tunazungumza kwa simu wakati mwingine, huwa tunatumiana ujumbe na hatuna shida. Kwa hivyo tulisuluhisha," Mane aliongeza.
Mane alisema walisuluhisha swala hilo kupitia njia ya simu na wakapata kurejesha uhusiano wao wa kawaida.
"Tulisuluhisha sisi wenyewe, na hata kocha aliniita tukazungumza. Nilimwambia tayari tulikuwa tumetatu mzozo wetu," Mane aliongeza.