This archive report was first published on 16 October 2019.
Matangazo mengi ya televisheni ya simu na vinywaji laini yamefanywa na mhandisi anayefanana na Mo Salah, kwa kuwa mchezaji huyo hana muda mwingi wa kufanya matangazo.
Alisema hivyo wakati akihojiwa na runinga ya Al-Nahar TV, huku akionyesha kuwa amekuwa akirekodi matangazo kwa muda mwingi.
Aliongeza kuwa, "Ninachukua muda mwingi kurekodi matangazo hapa na nitaenda pia Uingereza kumalizia kurekodi naye Salah, hii ni kuharakisha mambo kwa sababu yeye hana muda mwingi wa kufanya matangazo,"
Alisema Ahmed Bahaa, huku akionyesha kuwa amekuwa akirekodi matangazo kwa muda mwingi.
Matangazo aliyofanya, sio rahisi kumtofautisha Bahaa na Mo Salah ila anaonekana akiwa katika picha za mbali na sio za ukaribu sana zinazoweza kuonesha sura yake.
Alisema hivyo wakati akihojiwa na runinga ya Al-Nahar TV, huku akionyesha kuwa amekuwa akirekodi matangazo kwa muda mwingi.