This archive report was first published on 16 October 2019.
Wabunge wa ODM na Jubilee wabeti ushindi wa Kibra ¶
Wabunge wa ODM na Jubilee wameamua kuwekeza kwa ushindi wa Kibra, huku wengine wakiomba kuhakikisha kuwa barabara ya reli inakamilika.
Wabunge wa ODM na Jubilee wameamua kuwekeza kwa ushindi wa Kibra, huku wengine wakiomba kuhakikisha kuwa barabara ya reli inakamilika. Mbunge wa Sirisia John Waluke na mwenzake wa Homa Bay Peter Kaluma wameekeza kima cha KSh 1 milioni kubashiri endapo wagombea wao watatwaa kiti hicho cha ubunge.
Waluke anampigia upato mgombea wa Jubilee Mariga huku Kaluma akimpigia debe mgombeaji wa ODM Imran Okoth.
Barabara ya reli haijakamilika ¶
Sehemu ya pili ya reli hiyo ambayo iligharimu kima cha KSh 150 bilioni itakuwa ikiwasafirisha abiria katika vituo vinne kati ya 12 ambavyo ni Ongata Rongai, Ngong, Maai Mahiu na Suswa.
Sehemu ya pili ya reli hiyo ambayo iligharimu kima cha KSh 150 bilioni itakuwa ikiwasafirisha abiria katika vituo vinne kati ya 12 ambavyo ni Ongata Rongai, Ngong, Maai Mahiu na Suswa. Hata hivyo, jambo ambalo linaibua maswali ni kuwa hafla hiyo ya faragha itahudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta.
Wengi wanadai hafla hiyo haijahamishwa kwa umma ikilinganisha na vile barabara ya reli kutoka Nairobi kuelekea Mombasa ilivyozinduliwa.
Wengi wanadai hafla hiyo haijahamishwa kwa umma ikilinganisha na vile barabara ya reli kutoka Nairobi kuelekea Mombasa ilivyozinduliwa.