Skip to main content

Mtangazaji Linus Kaikai ajuta kwa kumsifia rais mstaafu Moi ▷ Kenya News

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 10 October 2019.

Uongozi wa rais mstaafu Daniel Moi ulikuwa wa kudhihakiwa na baadhi ya watu mitandaoni baada ya mtangazaji wa Citizen TV, Linus Kaikai, kusifia uongozi wake.

Linus Kaikai alipakia picha yake akiwa na rais mstaafu Daniel Moi na kusema alikuwa mwanasiasa mkamilifu aliyekomaa kisiasa na alilinda mipaka ya nchi.

Alisema Moi alitekeleza majukumu ya kulinda boma lake kikamilifu huku akizingatia umoja na kulinda mipaka ya nchi.

"Moi alikuwa mwanasiasa aliyekomaa, alilinda kikamilifu boma alilopewa jukumu la kuliongoza. Alizingatia pakubwa umoja wa nchi, huku akiendesha serikali yake kuhakikisha inamtumikia kila mmoja. Alilinda mipaka yetu," alisema Kaikai.

Ujumbe huo uliwakera baadhi ya watu mitandaoni ambao walikuwa na mtazamo tofauti kuhusiana na uongozi wa Mzee Moi.

Walikuwa na wengine walimtetea Kaikai na kusema viongozi wa sasa ni wakoloni zaidi kumliko Mzee Moi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →