Skip to main content

Uganda: Polisi Wamkamata Mtu Alidai Ni Yesu Kristo

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 9 October 2019.

Polisi nchini Uganda wamemtia mbaroni jamaa mmoja aliyedaiwa kudai yeye ni Yesu Kristo.

Maafisa wa polisi wamemkamata jamaa huyo, Solomon Semakula, maarufu kama Elosam Emmanuel Prince Michael, Jumatatu Oktoba 7, katika kijiji cha Kikaabya kaunti ndogo ya Bamunanika.

Maafisa wa polisi wamemkamata jamaa huyo kwa sababu alikuwa na tabia zisizoeleweka, kama ilivyotajwa na Mkuu wa polisi katika kituo cha Wobulenzi Gideon Byomuhangi.

"Amekuwa akijiita yesu Kristo na ilibidi tufike hapo baada ya tetesi za wananchi. Tulipofika tulimpata na kuona ana tabia zisizoeleweka," afisa huyo alisema.

Maafisa wa polisi wamemkamata jamaa huyo na kuhukumu kwa tabia zake zisizoeleweka.

Published on October 9, 2019.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →