This archive report was first published on 7 October 2019.
Wanajeshi wamezingirwa kivuko cha Likoni baada ya mkasa wa feri kutokea, huku wapiga mbizi kutoka Afrika Kusini wakishiriki oparesheni ya kufuatilia miili ya wapoteza maisha yao.
Shughuli za uopoaji zilianza Jumatatu, Septemba 30, lakini kufikia sasa siku saba baadaye, hakuna kilichoopolewa.
Wapiga mbizi wametambua maeneo manne ambapo wanaamini miili ya wapoteza maisha yao inaweza patikana, na kwa hivyo tahadhari inapaswa kuchukuliwa ili maisha ya wapiga mbizi yasihatarishwe.
Shughuli za uopoaji kivukoni Likoni huenda zikachukuwa muda mrefu zaidi kufuatia ugumu wanaoshuhudia wapiga mbizi wakiwa ndani ya maji.
Shughuli ya uopoaji ilianza Jumatatu, Septemba 30, na kufikia sasa siku saba baadaye, hakuna kilichoopolewa.
Wanajeshi wamezingirwa kivuko cha Likoni baada ya mkasa wa feri kutokea, huku wapiga mbizi kutoka Afrika Kusini wakishiriki oparesheni ya kufuatilia miili ya wapoteza maisha yao.