Skip to main content

Makachero Watia Mbaroni Washukiwa wa Mauaji ya Meneja wa Kampuni ya RAI

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 6 October 2019.

Makachero Watia Mbaroni Washukiwa wa Mauaji ya Meneja wa Kampuni ya RAI

Washukiwa hao walitiwa mbaroni Jumamosi, Oktoba 5, baada ya makachero kufanya uchunguzi wa kina na kupekua mazungumzo baina ya wahsuliwa hao.

Polisi walisema washukiwa watatu walikamatwa katika kijiji kimoja kaunti ya Kericho na kupatikana na simu ya Vyas huku ikiwa imeharibiwa na kukatwakatwa kwenye vipande.

Uchunguzi ulionyesha washambulizi waliingia katika nyumba hiyo kupitia juu ya mabati baada ya kubomoa.

Polisi wamefanikiwa kupata simu ya mwendazake iliyoibiwa baada yake kuuawa.

Washukiwa hao wamekuwa wafanyikazi katika kampuni hiyo baada ya kuingia nchini kutoka nchi za ughaibuni.

Uchunguzi wa kamera za CCTV ulionyesha wauaji walipitia kwenye paa la nyumba.

Washukiwa walipatikana na laini za simu.

Washukiwa hao walikuwa wamefunika nyuso zao wakati wa uchunguzi wa kamera za CCTV.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →