This archive report was first published on 3 October 2019.
Mama na Mwanawe Kutumbukia Bahari Hindi ¶
Mama na mwanawe waliokuwa wakipakia feri ili kuvuka hadi upande wa pili wa Bahari Hindi waliotumbukia kwenye bahari. Tukio hilo lilifanyika Jumapili Septemba 29 jioni.
Wanafunzi 52 wa Shule ya Wasichana ya Starehe jijini Nairobi walifungwa kwa muda usiojulikana baada ya kuonesha dalili za ugonjwa ambao haujatambuliwa na unaodaiwa kuwa wa kuambukizana kwa haraka.
Naibu Rais William Ruto amepuzilia mbali madai kwamba kinyang'anyiro cha ubunge wa Kibra ni baina yake na Raila Odinga. Ruto aliwashauri wakazi wa Kibra kuwa makini wasipotoshwe na siasa zinazoongozwa na wapinzani wake.
Benki Kuu ya Kenya ilitangaza kuwa zaidi ya KSh 7 bilioni noti za zamani za KSh 1,000 kwa sasa hazina maana tena. Hii ni baada ya noti 7,386,000 kurejeshwa kwenye benki kufikia Oktoba 1, 2019.
Beatrice Chepkoech, mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na kidimbwi cha maji, alijishindia nishani ya dhahabu katika mashindano ya riadha za dunia inayoendelea jijini Doha, Qatar.
Monica Okoth, na Anne Thumbi waliafikiana kwa kutia saini matokeo ya DNA, ambayo ilibainisha kuwa Okoth alikuwa babake mtoto wa kiume aliyekuwa amezua utata.