Skip to main content

Likoni: Jamaa ajitupa Bahari Hindi katika kivukio cha feri

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 3 October 2019.

Hasa siku ya Jumapili, kuhusiana na mkasa uliotokea ambapo gari lililokuwa limewabeba mama na mwanawe lilidondoka na kutumbukia baharini, kuhuduma za feri ziliwekwa kwa muda.

Timiza alianza kuogelea akielekea ng'ambo ya pili huku umati ukiachwa na mshtuko.

Shughuli ya kuitafuta miili ya Mariam Kigenda na mwanawe Amanda Mutheu siku nne baada yao kutumbukia Bahari Hindi ilikuwa bila mafanikio kutokana na utata ambao umeikumba oparesheni nzima.

Shughuli hiyo imekumbwa na utata wa aina yake, hasa baada ya mpiga mbizi wa binafsi aliyetafutwa na familia ya waathiriwa kujiuzulu kwa madai ya kuhangaishwa na Jeshi la Wana Maji.

Published on October 3, 2019, by TUKO.co.ke.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →