This archive report was first published on 3 October 2019.
Shirika la Reli la Kenya limesema kuwa vyakula na vinywaji kutoka nje haviruhusiwi kuingizwa katika vituo vya SGR.
Kituo cha gari la moshi cha Mombasa. Shirika la reli la Kenya limesema kuwa vyakula na vinywaji kutoka nje haviruhusiwi kuingizwa katika vituo vya SGR. Picha: Facebook
Shirika la Reli la Kenya limesema kuwa mvinyo, chakula na vinywaji haviruhusiwi kuingizwa katika vituo vya SGR. Hii ilisemwa kwa umma mnamo Jumatano, Oktoba 3, 2019.
Wasafiri katika gari la moshi la SGR. Shirika la reli la Kenya limesema kuwa vyakula na vinywaji kutoka nje haviruhusiwi kuingizwa katika vituo vya SGR. Picha: Citizen TV
Shirika la Reli la Kenya limesema kuwa mvinyo, chakula na vinywaji haviruhusiwi kuingizwa katika vituo vya SGR. Hii ilisemwa kwa umma mnamo Jumatano, Oktoba 3, 2019.