Skip to main content

Magari 3 yaliyoibwa Kenya yapatikana Tanzania

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 3 October 2019.

Magari matatu yaliyoibwa kutoka Kenya yalipatikana nchini Tanzania baada ya operesheni ya siku nne ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) katika nchi hiyo jirani.

Magari hayo ni aina ya Toyota AXIO (KCH 608S), Toyota ISIS (KCV 145L), na lori aina ya Mitsubishi FH (KBU 418C), pamoja na pikipiki aina ya Boxer (KMEM 280Z).

Polisi wamesema magari hayo na pikipiki yamezuiliwa katika afisi za DCI mjini Taveta, yakisubiriwa kutambuliwa na wamiliki.

Uchunguzi wa kina waendelea kufanywa na maafisa wa polisi wa kimataifa (Interpol).

Magari hayo hayo ya kifahari yaliibwa nchini Afrika Kusini na Uingereza, na moja katika ya magari aina ya Range Rover, lilikuwa limesajiliwa na nambari ya Toyota Probox.

Visa vya wizi wa magari na pikipiki vimekuwa vikikithiri, lakini serikali inatia kila jitihada kukabiliana na uhalifu huo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →