Skip to main content

CBK: Zaidi ya KSh 7 Bilioni za Noti za KSh 1,000 za Zamani Hazina Maana Tenan

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 October 2019.

Mapema mwezi Oktoba 2019, Gavana wa Banki Kuu Patrick Joroge alitangaza kuondolewa sokoni kwa noti za KSh 1,000 kama njia ya kukabiliana na mtiririko wa fedha bandia nchini.

Alisema kuwa uamuzi huo ulifanywa baada ya kufanya utafiti kwa madhumuni ya kujua ni njia gani ya kuondoa fedha bandia nchini.

"Ili kukabiliana na usambazwaji wa fedha ghushi tulionelea ni vyema tuondoe sokoni noti za KSh 1,000," alisema Joroge.

Aliongeza kuwa zoezi nzima lilikuwa na mafanikio makubwa ikizingatiwa na hela ambazo zilikusanywa kwa kiasi cha muda uliotangazwa.

Noti za KSh 1,000 ambazo hazikurejeshwa kwa muda uliotangazwa ni karatasi na hazina maana tena, kwa mujibu wa Gavana wa Banki Kuu.

Noti za kizazi kipya zilitangazwa kuingizwa sokoni Juni 1 wakati wa sherehe za Madai Dei.

Wakati uo huo noti za KSh 50, KSH 100, KSh 200 na KSh 500 pia zilitanguliwa.

Noti za KSh 1,000 zilitangzwa kuondolewa sokoni ifikiapo Septemba 30, 2019.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →