Skip to main content

Uganda: Museveni Hataki Kumwona Bobi Wine na Sare Nyekundu, Apiga Marufuku Kofia Zake

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 30 September 2019.

Uganda: Serikali ya Uganda, iliyotawala na Yoweri Museveni, imepiga marufuku kufia za rangi ya kijani kibichi, nyekundu nzito, nyekundu, hudhurungi kolea, kijivu na buluu ambazo huvaliwa na wanajeshi wa Jeshi la Polisi nchini Uganda (UPDF).

Marufuku hiyo ilichapishwa katika Gazeti rasmi la serikali, na ina maana kwamba wafuasi wa Bobi Wine, rais wa vuguvugu la People's Power, watakuwa wakipuuza hatua hiyo.

Wafuasi wa Bobi Wine wamekuwa wakivalia kofia na mavazi hayo kama tofauti na sare zinazovaliwa na polisi nchini Uganda.

Joel Senyonyi, msemaji wa People's Power, amesema kwamba serikali inahofia kasi ya vuguvugu lao na kwamba imeanza kutatarika.

Senyonyi amesema pia kwamba wataendelea kuvalia sare zao kawaida, kwani ni tofauti sana na zinazovaliwa na polisi nchini Uganda.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →