Skip to main content

Muigizaji Inspekta Mwala aongoza hafla ya polisi iliyohudhuriwa na Waziri Fred Matiang'i ▷ Kenya News

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 27 September 2019.

Hafla ya pamoja ya Idara ya Polisi ya Kitaifa na Tume ya Maafisa wa Polisi ilizinduliwa mnamo siku ya Ijumaa, Septemba 27, 2019.

Hafla hiyo ilikuwa ikiongozwa na Inspekta Mwala, muigizaji wa Citizen TV ambaye alitozwa faini ya KSh30,000 kwa kumgonga na kumuua Ismael Mangi, mwenye umri wa 36, mnamo Agosti 26, 2019, katika barabara kuu ya Kaloleni-Mazeras.

Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang'i, alikuwa mgeni wa heshima katika hafla hiyo, huku akiambatana na Inspekta Generali Hillary Mutyambai.

Inspekta Mwala wakati wa hafla hiyo. Picha: Nairobi News

Idara ya Polisi ya Kitaifa na Tume ya Maafisa wa Polisi zinaendelea kushirikiana katika kutekeleza sheria ya Trafiki, ambayo inasema kuwa kuendesha gari ukiwa mlevi unafaa kutozwa faini ya KSh500,000 au kifungo cha miaka kumi gerezani au hukumu yote mbili.

Na yeyote atakayesababisha kifo kutokana na uendeshaji mbaya kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani au kutozwa faini ya milioni moja.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →