Skip to main content

Polisi 3, Koplo wa KDF Wakamatwa Kuhusiana na Wizi wa Peza katika ATM ya Nairobi West

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 27 September 2019.

Polisi 3, Koplo wa KDF Wakamatwa Kuhusiana na Wizi wa Peza katika ATM ya Nairobi West

Polisi 3 na koplo wa KDF wamekamatwa kuhusiana na wizi wa KSh 75 milioni katika mashine ya ATM ya Nairobi West.

Washukiwa wamekamatwa baada ya makachero kutoka kitengo cha Kuzuia Uhalifu (SCPU) kufichua makosa yao.

Washukiwa wamekamatwa kwa wakati mmoja na KSh 7 milioni kupatikana katika Kaunti za Kisii na Homa Bay.

Septemba 12, washukiwa akiwamo nyanya yao walikamatwa na KSh 2 milioni kupatikana katika boma lao.

Washukiwa wengine wanne walitiwa nguvuni Septemba 26 huku gari aina ya Subaru Forester linaloaminiwa kununuliwa na sehemu ya pesa hizo kukamatwa.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →