This archive report was first published on 20 September 2019.
Mbunge wa Rarieda, Otiende Amollo, ameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa mke wake Lilian Amollo kwa ujumbe wa mapenzi tele. Alipost picha yake katika ukurasa wake wa Twitter, alithibitisha kuwa maadhimisho yayo yalifanyika kimyakimya Alhamisi, Septemba 19.
Amollo alidokeza kuwa, watoto ndio waliomshtua mama yao kwa kuhusu siku hiyo kwa keki iliyotengenezewa nyumbani.
Alipata mafanikio makubwa katika kazi yake ya uwakili, na alimmiminia sifa tele mwanawe mara aliporuhusiwa kuanza rasmi kazi ya uwakili.
Amollo na mke wake wana watoto wanne, Rodney, Jewel, Jean, na Jayden.
Alipata mafanikio makubwa katika kazi yake ya uwakili, na alimmiminia sifa tele mwanawe mara aliporuhusiwa kuanza rasmi kazi ya uwakili.