Skip to main content

Mahakama Yatupilia Mbali Kesi ya Wanasiasa Wanne

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 19 September 2019.

Wanasiasa wanne waliokuwa wameshtakiwa na makosa ya kutoa matamshi ya chuki mwaka 2017 wamefukuzwa kesi yao mahakamani.

Wakati huo siasa za urais za 2017 zilikuwa zimeshika kasi huku Jubilee na NASA wakikabana koo kuhusu siasa za urais.

Wanasiasa hao waliokuwa wameshtakiwa ni Junet Mohammed wa Suna Mashariki, Aisha Jumwa wa Malindi, Timothy Bosire aliyekuwa mbunge wa Masaba na Florence Mutua wa Busia.

Jaji Martha Mutuku alisema mashtaka ya wanne hao ilikuwa na kasoro na kutaka warudishiwe bondi waliyokuwa wametoa.

Wakati wa kipindi hicho, siasa zilikuwa zimeshika kasi huku Jubilee na NASA wakikabana koo kuhusu siasa za urais 2017.

Wanasiasa hao walikamatwa mwaka 2016 na kufungiwa katika kituo cha polisi cha Pangani jijini Nairobi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →