This archive report was first published on 17 September 2019.
Wabunge wengi hawastahili kupata malipo yoyote kwani wao huingia bunge tu mda mchache na kisha kutoweka, kwa hivyo wanaoingia kwenye vikao kwa muda mchache tu na kisha kutoweka hawastahili kupata malipo yoyote.
Alisema hii Jumanne, Septemba 17, wakati wa kuwasilisha taarifa kwa wanachama wa chama chake katika eneo bunge lake.
Alisema viongozi wote waliochaguliwa wanafaa tu kupewa marupurupu na wala si mshahara kila mwezi.
Alisema pia kwamba baadhi ya wabunge huwa wanaingia kwenye vikao kwa muda mchache tu na kisha kutoweka na hivyo hakuna haja ya wao kulipwa.
Alisema, "Tunatumia mda mchache sana kwenye bunge na wengine hata huwa wanafika tu na kutoweka. Viongozi wote waliochaguliwa wanafaa wawahudumie wananchi na wala si kujaribu kujitajirisha,".
Alisema pia kwamba kuna haja ya kushughulikia swala la mishahara ya wafanyikazi wa umma wakiwemo wabunge.