Skip to main content

Ben Pol: Mipango yangu ya harusi haijakwama

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 13 September 2019.

Ben Pol, mwanamuziki wa Tanzania, 30, amesema kuwa harusi yake na Anerlisa Muigai, mfanyabiashara wa Kenya, inaendelea kwa ufanisi tofauti na kile ambacho watu wengi wanavyosema mtandaoni.

Ben Pol alisema kuwa wao wana mipango ya kuhakikisha kila kitu shwari, na kuomba watu wasiingilie katika suala la kupanga harusi.

Alisema kuwa kwa sasa anafanya miango ya kuweka kila kitu sawa, lakini ikiwa wanauliza ikiwa mipango ya harusi ingalipo, jibu ni: 'ndiyo.'

Ben Pol na Anerlisa walianza uhusiano wao mwishoni mwa 2018.

Ben Pol ni mwanamuziki wa R&B mwenye kipaji kikubwa sana, na anafahamika sana kwa vibao: Moyo Mashine na Muziki alichomshirikisha Darassa miongoni mwa vibao vingine vikali.

Harusi ya Ben Pol na Anerlisa inaendelea kwa ufanisi tofauti na kile ambacho watu wengi wanavyosema mtandaoni.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →