Skip to main content

Gavana Waiguru azomewa na vijana Kirinyaga, alazimika kumkabidhi MCA maikrofoni ▷ Kenya News

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 12 September 2019.

Leo baada ya mkutano wa Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru uliojikita katika kukagua miradi ya maendeleo, hali ya taharuki ilishuhudiwa baada ya vijana kuvamia mkutano huo.

Waiguru alikuwa amefungua soko jipya lililojengwa na serikali yake na kusema hatoruhusu Bw Wangui kumtusi kila mara na kumfuata kwenye hafla za kuzindua miradi ya maendeleo katika wadi yake.

Awali, Waiguru alikuwa amefungua soko jipya lililojengwa na serikali yake na kusema hatoruhusu Bw Wangui kumtusi kila mara na kumfuata kwenye hafla za kuzindua miradi ya maendeleo katika wadi yake.

Waiguru alisema hana haja ya vurugu na wakati huohuo kuwataka wakazi kukaa kwa amani na kutokubali kutumiwa na wanasiasa kumkandamiza kisiasa.

Waiguru alidai vijana hao ni wahuni walionunuliwa ili kuharibu mkutano wake kwa kuwa punde aada ya MCA kuzungumza walimbeba juu kwa juu na kuimba.

Waiguru alisema hana haja ya vurugu na wakati huohuo kuwataka wakazi kukaa kwa amani na kutokubali kutumiwa na wanasiasa kumkandamiza kisiasa.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →