Skip to main content

Profesa Walingo atimuliwa kufuatia ufisadi chuoni Maasai Mara

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 12 September 2019.

Profesa Mary Walingo, Naibu Chansela wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara, amepewa likizo la lazima kufuatia ufichuzi wa ufisadi uliofanywa na Citizen TV ambapo alihusika katika ubadhirifu wa fedha chuoni humo.

Ufichuzi huo ulikuwa na maelezo ya kina kuhusu sakata ya ufisadi ambapo chuo kikuu kilipoteza KSh 190 milioni.

Profesa Walingo alitajwa kama mhusika mkuu katika sakata ya ufisadi huo, pamoja na afisa mkuu wa fedha Anaclet Okumu na dereva wa Profesa Walingo Abdi Noor Hassan.

Wenzake waliotajwa kwenye kashfa hiyo watahojiwa na makachero wanaochunguza kesi hiyo.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →