This archive report was first published on 12 September 2019.
Washukiwa watatu wa wizi wa Equity Bank waliripotiwa kupora kiasi kisichojulikana cha pesa za Equity Bank tawi la Moyale, Kenya.
Wanapigania kujaribu kutoroka na magunia hayo mawili ya pesa na kuacha lingine.
Maafisa wa benki hiyo tawi la Moyale wanasema hawajui kiasi cha pesa kilichokuwa kikiletwa.
Uchunguzi wa punde unadai walitorokea kwenye upenyo ndani ya waya za uwa huku ikiibuka kuwa, tayari meneja wa benki ya Equity alikuwa amefanya mipango ya usalama wa kabla ya pesa hizo kufika.
Uchunguzi kuhusu kisa cha leo umeanza.