Skip to main content

Dennis Itumbi Wamezuiwa Kwa Kukosa Kutekeleza Wajibu Wake wa Kulea Baada ya Kumpeana Ujauzito

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 6 September 2019.

Msichana mmoja ambaye alijifungua mtoto msichana mwezi Juni mwaka huu, amemshtaki mwanablogu matata Dennis Itumbi kwa madai kuwa alimpachika mimba kisha akaingia mitini.

Alisema walikutana mwaka wa 2018 na penzi lao likashika moto, na baada ya hapo, Itumbi alikataa kukubali mimba ya binti huyo.

Msichana huyo anaitaka mahakama kumshurutisha Itumbi kuchukua jukumu la kulea ili mtoto wao apate malezi bora, na pia anataka nakala ya kitambulisho cha Itumbi ili aweze kumsajili mwana wao.

Alisema anataka pesa za matumizi ya kila mwezi, na kwa sasa anaomba msaada wa mahakama ili apate fedha za matumizi kutoka kwa mwanablogu huyo.

Itumbi ameshtakiwa kwa madai ya kukosa kutekeleza wajibu wake wa kulea baada ya kumpeana ujauzito na kutoroka.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →