This archive report was first published on 4 September 2019.
Watu wengi wanafuata kipindi cha Machachari, ambacho kimepeperushwa kwa zaidi ya miaka tano na kimevutia mashabiki wengi.
Wakati wa kipindi hicho, baadhi ya waigizaji walikuwa wachanga, lakini sasa wamekuwa watu wazima na wengine wameondoka kujishughulisha na mambo mengine.
Wakati wa kipindi hicho, TUKO.co.ke ilikumbana na picha za mmoja wa waigizaji wa Machachari, ambazo ziliashiria kuwa jamaa sasa amekuwa ndume.
Ingawa TUKO.co haijathibitisha iwapo Fatso na Stella wanachumbiana au la, kulingana na picha zao zinazoashiriria kuwa huenda wanachumbiana.
Wawili hao wanaonekana kupendana, na baadhi ya mashabiki zao waligusia kwenye jumbe walizowatumia katika kurasa zao.
Ushirikiano wao wa karibu kwa kila jambo umezua minong'ono miongoni mwa watu, huku wawili hao wakisalia na maswali ya kujibu.
Published on September 4, 2019