Skip to main content

Mama Ajuta Kumtoroka Mumewe na Kuolewa na Mganga

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 30 August 2019.

Patupu alikuwa amekuwa akiwa na wasiwasi baada ya kukataliwa na kuamriwa arejee kwa mganga aliyekuwa amemuoa.

Fununu za mtaani zinasema kwamba, mama huyo alimtoroka mumewe na kuolewa na mganga aliyekuwa amehamia eneo hilo.

Wakaazi wa eneo hilo walipigwa na butwa kumuona mama amerejea kwa mumewe wa zamani baada ya kusemekana kwamba alikuwa amefurushwa na mganga huyo.

Alipomuona alimfokea vikali na kukataa kumaribisha nyumbani akisema kwamba tayari aliipoteza nafasi yake.

Jamaa alinguruma, "Nilikulilia usiniache ukapuuza, sasa unarejea hapa kufanya nini?"

Alipomtaka msamaha, mama aliomba msamaha akielezea masikitiko yake.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →