Skip to main content

Barabara Kuu ya Thika: Leni ya Nje Itafungwa Jumapili Ijayo

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 25 August 2019.

Barabara Kuu ya Thika itafungwa Jumapili, Septemba 1 ili kuwezesha utundikaji wa mihimili ya Daraja la juu la kuunganisha Makutano ya Outer Ring.

Sehemu ya Barabara Kuu ya Thika kwa muda wa mwezi sasa imekuwa hautumiki tangu kufungwa kwa leni mbili ili kuruhusu ujenzi wa daraja la kuunganisha kuundwa.

Ujenzi wa daraja hilo unatarajiwa kurahisisha kuunganisha Barabara Kuu ya Thika na Outering, na kupunguza msongamano wa mara kwa mara ambao umekuwa ukishuhudiwa kati ya barabara hizo mbili.

Madereva wanaotumia Barabara Kuu ya Thika watakuwa wakati wa kufungwa kwa barabara hiyo Jumapili, Septemba 1.

Notisi ya Jumamosi, Agosti 24, ilisema ni leni ya nje ya barabara hiyo itakayofungwa pekee.

Ujenzi wa daraja la kuunganisha unatarajiwa kuhakikisha kuwa Barabara Kuu ya Thika inakuwa rahisi kwa wateja wote.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →