This archive report was first published on 21 August 2019.
Jamaa aliyenyapia na kuiba kondoo wa jirani afungwa jela miaka 7 ¶
Agosti 13, 2019, katika kijiji cha Jerusalem, Kaunti ya Uasin Gishu, mwanamume, 28, aliyekabiliwa na mashtaka ya kuiba kondoo wa jirani amefungwa jela kwa miaka 7.
Alipatikana na kondoo huyo siku tatu baadaye katika Soko la Kuinet na alinuia kumuuza.
Upande wa mashtaka uliiambia korti kuwa, Ernest Kipkurui, ambaye ni mmiliki wa kondoo huyo alikuwa amemwazima rafiki yake kondoo huyo kwa ajili ya tendo la uzalishaji.
Hakimu alidokeza kuwa, kuna visa vingi vya wizi wa mifugo na kesi kadhaa zimeletwa kortini. Alisema ingawa ni mara ya kwanza kwa mshtakiwa, korti ilimpata na hatia.
Alipoamka siku iliyofuatia, hakumkuta kondoo huyo na ndipo alipowafahamisha majirani na mmoja baadaye akadai kumwona mtu na mfugo huyo.
Wewa alitoa uamuzi wake, kwa kusema, "Tunafaamu hii ni mara ya kwanza kwa mshtakiwa. Hata hivyo alipatikana na kondoo na alikuwa tayari kumuuza na hilo haliwezi kusamehewa."