Skip to main content

Uhuru Kenyatta: Hakuna anayejua atakayekuwa rais 2022

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 25 July 2019.

Alhamisi Julai 25, Rais Uhuru Kenyatta alisema ni wakati sasa viongozi wanafaa kuwajibika vilivyo na kuboresha maisha ya wananchi.

Uhuru alisema ni wakati sasa viongozi wanafaa kuwajibika vilivyo na kuboresha maisha ya wananchi.

Alisema, "Waambieni viongozi wenu hamtaki siasa, mnataka maendeleo, waambie mnataka watu wa kufanya kazi kwa pamoja nao ili tuache sifa za kuboresha maisha ya wananchi, sijui ni nani atakaye kuwa rais 2022 baada ya mimi kung'atuka mamlaka ila ni Mungu pekee," Uhuru alisema.

Uhuru pia aliwarai Wakenya kuunga pamoja ili kusaidia katika kupigana vita dhidi ya ufisadi ambao alidai unaathiri sana uchumi wa nchi.

Itakumbukwa kuwa hii sio mara ya kwanza kwa Uhuru kukemea siasa za mapema miongoni mwa viongozi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →