This archive report was first published on 23 July 2019.
Kukamatwa kwa Waziri wa Fedha Henry Rotich ¶
Waziri wa Fedha Henry Rotich alikamatwa kwa tuhuma za sakata ya kupotea kwa pesa katika miradi ya ujenzi wa mabwawa ya Kimwarer na Arror, kufuatia taarifa iliyopewa uzito zaidi katika magazeti ya Jumanne, Julai 23.
Magazeti haya pia yanaangazia jinsi Rotich alitwaa katika nyadhifa hiyo na pia baadhi ya miradi yake inayomuorodhesha kama Waziri tofauti sana wa Fedha.
Waziri Rotich alidai kuwa marafiki zake wote wa karibu serikalini wamemtoroka baada ya sakata hiyo kutangazwa kwa umma.
Alidai kuwa baadhi ya marafiki wake wa karibu serikalini walianza kupuuza simu zake na pia arafa zake, na hivyo aling'amua kuwa alikuwa amewachwa kubeba msalaba wake.
Magazeti ya Kenya Jumanne, Julai 23: Henry Rotich adai marafiki zake wote serikalini wamemkimbia. Picha: UGC