Skip to main content

Zari Hassan Funga Ndoa ya Kimyakimya na Mchumba Wake wa Siri 'King Bae'

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 20 July 2019.

Zari Hassan, anayejulikana kama 'the Boss Lady', amefunga ndoa ya kimyakimya na mchumba wake wa siri 'King Bae' baada ya kufanya uhusiano wao kuwa wazi. Picha: Zari/Instagram

Zari Hassan, aliyekuwa mke halali wa marehemu Ivan Ssemwanga, alikuwa amezungumza na Millard Ayo nchini Tanzania na kusema harusi yake ingefanyika Afrika Kusini na baadaye kumpeleka King Bae nchini Uganda kukutana na baba na familia.

Tayari King Bae amemnunulia Zari kasri jijini Pretoria watakayoanza kukaa kuanzia Septemba baada ya kukamilika mchakato wa ununuzi.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →