This archive report was first published on 18 July 2019.
IEBC ilitangaza kuwa Punguza Mzigo waliweza kupata sahihi zaidi ya milioni moja kama inavyohitajika kisheria kwa wale wanaopanga kupendekeza mabadiliko ya kikatiba.
Alhamisi, Julai 18, 2019, IEBC ilisema kuwa Punguza Mzigo waliweza kupata sahihi zaidi ya milioni moja kama inavyohitajika kisheria kwa wale wanaopanga kupendekeza mabadiliko ya kikatiba.
Ekuru Aukot alipokuwa akiokota sahihi za mageuzi ya katiba. Picha: Ekuru Aukot
IEBC sasa imesema itatuma mswada huo kwenye mabunge ya kaunti ili kujadiliwa.
Mapendekezo ya Punguza Mzigo ni kupunguza wabunge kutoka 416 hadi 147, rais awe akihudumu kipindi kimoja cha miaka saba, nyadhifa za walioteuliwa katika mabunge sawa na nafasi ya naibu gavana kuondolewa.
READ ENGLISH VERSION