This archive report was first published on 15 July 2019.
Waziri wa Michezo Amina Mohammed alikuwa na furaha kubwa Jumamosi Julai 13, 2019, wakati alimuandalia rafikiye sherehe ya kufana ya 'Baby Shower'.
Sherehe hiyo ilihudhuriwa na marafiki wa karibu wa balozi Yvonne Khamati, ambaye alipata mpenziwe Jumamosi Mei 5, 2019.
Yvonne alimshukuru Waziri Amina kwa kuandaa sherehe hiyo, akisema, ''Cheiii... dadangu mkubwa waziri Amina Mohammed akiamua kuniandalia sherehe nono na nisiyotarajia ya Baby Shower,'''
Wengine waliohudhuria sherehe hiyo ni Waziri Amina mwenyewe, mumewe Yvonne na binti wao.