Skip to main content

Wazazi wasiharakishwe jinsi alivyoagiza Magoha

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 3 January 2022.

Agizo la Waziri wa Elimu Prof George Magoha kwa wakuu wa shule za sekondari kuhusu malipo ya karo ya shule ni muhimu kuzingatia katika hali ya sasa ya uhaba wa pesa.

Waziri Magoha alitoa agizo hilo kwa sababu alieleza kuwa kuna wazazi wengi ambao hawataweza kupata pesa za kulipia karo kwani hali si nzuri.

Agizo hilo la waziri linaweza kutumiwa na watu kama hawa katika kuwachezea walimu wakuu mchezo wa paka na panya.

Shule ni taasisi zinazoongozwa kwa bajeti ambazo hutegemea malipo ya karo.

Wanafunzi wa wa bweni, kwa mfano, huhitaji kula, kuoga, umeme na mambo mengine yasiyowezekana bila pesa.

Wazazi ambaye anamrudisha mwanafunzi shuleni bila hata senti katika shule ya malazi anategemea mtoto wake alishwe kwa nini?

Wakati mwingine walimu wakuu hupitia hali ngumu hasa serikali inapochelewesha kutuma pesa shuleni huku wazazi hawajalipa.

Waziri Magoha alitoa agizo hilo kwa sababu alieleza kuwa kuna wazazi wengi ambao hawataweza kupata pesa za kulipia karo kwani hali si nzuri.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →