Skip to main content

Wakenya Sharti Waambiwe Ukweli Kuhusu Kisa Cha Kamiti

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 18 November 2021.

Ukiondoa kisa cha Kamiti, kuna uwezekano mkubwa kwamba maafisa wa usalama wanaweka mbele tamaa ya pesa kuliko usalama wa wananchi.

Wakati huu ambapo eneo la Upembe wa Afrika linakumbwa na machafuko na utovu wa usalama, ni makosa kwa taasisi yoyote ya ulinzi kunyamazia jambo hili.

Wakati huu ni muhimu kwa idara zote zinazohusika na usalama kuwasaka na kuwatia mbaroni washukiwa waliotoroka jela.

Brigedia Mstaafu John Kibaso Warioba, ambaye amemteua Rais Uhuru Kenyatta, anapaswa kupekua na kuwaambia wakenya ukweli kuhusu yaliyojiri.

Washukiwa hao wa ugaidi wametoroka wakati ambapo kumekuwa na taarifa za njama ya kuvamia na kulipua maeneo maarufu hapa Kenya.

Magaidi hao wameonyesha hawana mzaha kwa kulipua eneo la karibu na Bunge la Uganda.

Ingawa magaidi hawana uwezo wowote mbele ya serikali, ni lazima Brigedia Warioba ashirikiane na Inspekta Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai, na kufichua maovu yanayotekelezwa na maafisa wa usalama.

Ukiondoa kisa cha Kamiti, kuna uwezekano mkubwa kwamba maafisa wa usalama wanaweka mbele tamaa ya pesa kuliko usalama wa wananchi.

Wakati huu ambapo eneo la Upembe wa Afrika linakumbwa na machafuko na utovu wa usalama, ni makosa kwa taasisi yoyote ya ulinzi kunyamazia jambo hili.

Washukiwa hao wa ugaidi wametoroka wakati ambapo kumekuwa na taarifa za njama ya kuvamia na kulipua maeneo maarufu hapa Kenya.

Magaidi hao wameonyesha hawana mzaha kwa kulipua eneo la karibu na Bunge la Uganda.

Ingawa magaidi hawana uwezo wowote mbele ya serikali, ni muhimu kwa idara zote zinazohusika na usalama kuwasaka na kuwatia mbaroni washukiwa waliotoroka jela.

Brigedia Warioba anapaswa kupekua na kuwaambia wakenya ukweli kuhusu yaliyojiri.

Wakati huu ni muhimu kwa idara zote zinazohusika na usalama kuwasaka na kuwatia mbaroni washukiwa waliotoroka jela.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →