Skip to main content

Kiboko Kirejee Shuleni Ili Kuboresha Nidhamu

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 4 November 2021.

Utepetevu wa Kinidhamu Shuleni: Ni Wajibu Wetu Kuwajibisha

Wakati wa sasa, shule nyingi zimefungwa baada ya kuchomwa au wanafunzi kugoma. Hii ni mtindo ambao umekuwa ukishuhudiwa kila mwaka, hasa mitihani ya kitaifa inapokaribia.

Wanafunzi wengi wanaripotiwa 'kuiogopa' mitihani hiyo, hasa baada ya kukaa nyumbani kwa karibu mwaka mmoja kutokana na janga la virusi vya corona.

Utepetevu wa kinidhamu shuleni ni suala la kawaida, na ni lazima wazazi, walimu na wadau wote katika sekta ya elimu kuwajibika kuwaadhibu vilivyo wanafunzi wanaowapotosha wenzao.

Wakati huu ni wakati viboko virejeshwe shuleni kama ilivyokuwa awali ili kulainisha kizazi hiki kinidhamu.

La sivyo, tutajilaumu wenyewe katika siku za baadaye.

Wizara ya Elimu inaongoza mitihani ya Darasa la Nane (KCPE) na Kidato cha Nne (KCSE) kufanyika Machi 2022.

Wanafunzi wengi wanaripotiwa 'kuiogopa' mitihani hiyo, hasa baada ya kukaa nyumbani kwa karibu mwaka mmoja kutokana na janga la virusi vya corona.

Utepetevu wa kinidhamu shuleni ni suala la kawaida, na ni lazima wazazi, walimu na wadau wote katika sekta ya elimu kuwajibika kuwaadhibu vilivyo wanafunzi wanaowapotosha wenzao.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →