Skip to main content

Mbunge wa Tiaty William Kamket Amemjibu Viongozi wa ODM Raila Odinga

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 2 July 2019.

Julai 1, 2019: Mbunge wa Tiaty William Kamket amemjibu vikali naibu Rais William Ruto baada ya kumuita Raila Odinga 'mfalme wa umaskini' humu nchini.

William Kamket alisema Ruto hapaswi kumtaja Raila kuwa mfalme wa umaskini ikizingatiwa kwamba mwenyewe hawezi akaepuka kuitwa mwizi mkuu.

Alisema, "Nimesikia Ruto akisema Mheshimiwa Raila Odinga ni mfalme wa umaskini, nafahamu kuwa Ruto anajua sana kuwapa watu majina ila anapaswa kujua kwamba hata mtoto mdogo akiulizwa mwizi ni nani, atakwambia ni Ruto," Kamket alisema.

Alidai umaskini utaisha hivi karibuni lakini jina mwizi litakuwepo milele.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →