Skip to main content

Mahakama yamuamuru mke wa mchezaji mzinzi aondoke kwenye jumba la mumwe

N

Nyakundi Report

Newsroom 2 min read

This archive report was first published on 19 July 2020.

Mchezaji mzinzi wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana, Nii Ordatey Lamptey, amemwachia mke wake Gloria Appiah aondoke kwenye jumba la kifahari la Lamptey baada ya uchunguzi wa chembechembe za DNA kuonyesha kuwa nyota huyo si baba halisi wa watoto wake wote watatu waliozaa katika ndoa yao.

Gloria Appiah alikuwa amewasilisha kesi ya rufaa katika Mahakama ya Rufaa nchini Ghana akitaka kurithi jumba hilo lenye vyumba saba la kiungo huyo wa kati eneo la East Legon.

Alitaka akabithiwe jumba hilo kama fidia kutokana na kuvunjika kwa ndoa yao mwaka 2013, lakini kesi hiyo ilipigwa teke na mahakama hiyo siku ya Jumatatu, Julai 13.

Uchunguzi wa DNA ulikuwa unahusisha kutathmini uhusiano wa Lamptey na Gloria Appiah baada ya uvumi kumhusu mke wake kuenea.

Alipokubali kuwa sio baba wa watoto wake wote watatu, Lamptey alisema kuwa alikuwa na uchungu mwingi kama lakini Appiah hakupinga matokeo hayo.

Wakati huo huo, Lamptey alianza kuvutana na Gloriah kuhusu karo ya shule ya watoto wao watatu ambapo ilikuwa ghali wakati huo kwani watoto hao walikuwa wanasomea nchini Uingereza.

Alipata fununu kuhusu uzinzi wa mke wake na alikuwa katika harakati ya kutafuta ukweli wakati mke wake alitaka talaka kufuatia mgogoro kuhusu karo ya mtoto wa kwanza.

Mapema mwaka 2013, Lamptey alianza kuvutana na Gloriah kuhusu karo ya shule ya watoto wao watatu ambapo ilikuwa ghali wakati huo kwani watoto hao walikuwa wanasomea nchini Uingereza.

Alipata fununu kuhusu uzinzi wa mke wake na alikuwa katika harakati ya kutafuta ukweli wakati mke wake alitaka talaka kufuatia mgogoro kuhusu karo ya mtoto wa kwanza.

Wakati huo huo, Lamptey alianza kuvutana na Gloriah kuhusu karo ya shule ya watoto wao watatu ambapo ilikuwa ghali wakati huo kwani watoto hao walikuwa wanasomea nchini Uingereza.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →