Skip to main content

Afisa kutoka kituo cha Kiptagich asababisha ajali akiwa mlevi

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 18 July 2020.

Video iliyosambaa mitandaoni ilionesha gari la aina ya Toyota Land Cruiser likigonga ua huku polisi aliyekuwa akiliendesha akionekana mlevi.

Wakazi walifika eneo hilo na kuanza kumzuia afisa huyo kuingia ndani ya gari hilo ambalo alitaka kuliondoa kwa haraka eneo la ajali.

Wenyeji hao ambao wengi wao walikuwa wahudumu wa boadaboda wa eneo hilo, hawakuonekana kuvalia maski licha ya ukarimu wao wa kutaka kumsaidia afisa huyo.

Maafisa wengine wawili kutoka kituo cha Navakholo kaunti ya Kakamega walikuwa wamekutana na kifo cha kibinafsi wakati wa kusafiri kwa ajili ya kufunzwa kuendesha gari.

Wenyeji walitaka amaafisa hao kuchukuliwa hatua na kuwafidia katika kulikarabati kanisa hilo.

Maafisa wengine wawili kutoka kituo cha Navakholo kaunti ya Kakamega walikuwa wamekutana na kifo cha kibinafsi wakati wa kusafiri kwa ajili ya kufunzwa kuendesha gari.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →