Skip to main content

Mwanamuziki Ruth Matete aomba msaada wa fedha ili aweze kumzika mumewe

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 17 July 2020.

Mwanamuziki Ruth Matete anaomba msaada wa fedha kutoka kwa wahisani ili aweze kumzika mumewe, pastor Beloved John, ambaye alifariki dunia baada ya kuchomwa na mtungi wa gesi.

Alipofariki, pastor John aliacha bili kubwa hospitalini ambayo Ruth anashindwa kulipa, na kwa hivyo amekuwa na hitaji la kutafuta msaada wa fedha ili aweze kugharamia mazishi yake.

Aliyekuwa mshiriki wa shindano la Tusker Project Fame Ruth Matete amesema kuwa anaomba msaada wa fedha ili aweze kumzika mumewe na kulipa bili kubwa alioacha hospitalini.

"Hii ni kuomba msaada kwa ajili ya kugharamia mazishi ya mumewe Ruth Matete, pesa hizo pia zitatumika kulipa bili kubwa alioacha hospitalini na za matumizi ya mtoto wao ambaye hajazaliwa," Jumbe kwenye mabang'o zilizoma.

Wahisani wanaoweza kusaidia Ruth unaweza kuwasiliana naye kupitia nambari ya simu 0706-206-840 au utume chochote ulicho nacho kupitia nambari ya PAYBILL 891300.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →