This archive report was first published on 17 July 2020.
Naibu Rais Ruto aibua njama mpya ya kukabiliana na wahasimu wake ¶
Julai 17, 2020 - Naibu Rais William Ruto amechora mpango mpya wa kukabiliana na wahasimu wake ili kujizolea umaarufu katika safari yake ya IKulu 2022.
Amepanga mpango huu baada ya kuhangaishwa na wahasimu serikalini, na kujaribu kujizolea umaarufu kwa kujipatia kipaumbele katika safari yake ya IKulu.
Wandani wake wameapa kuhakikisha anasalia ndani ya serikali, na kikosi chake kinahakikisha hamna yeyote serikalini anagundua kuhusu miradi na mipango yake.
Naibu Rais Ruto pamoja na wandani wake wamekuwa wakiisukuma Jubilee na kubadilika kuwa wakosoaji wakuu wa serikali hiyo ambayo walishikana mikono kuiunda.
Magazeti ya Ijumaa, Julai 17: Picha: UGC.
Naibu Rais Ruto amechora mpango mpya wa kukabiliana na wahasimu wake ili kujizolea umaarufu katika safari yake ya IKulu 2022.