Skip to main content

Mama Azua Kioja Kumkataa Msichana wa Kazi Aliyeletwa Nyumbani na Mume

N

Nyakundi Report

Newsroom 1 min read

This archive report was first published on 16 July 2020.

Alama mbaya zilichukua eneo la Lanet, kaunti ya Nakuru baada ya mkewe kumkataa mrembo aliyetaka awe kijakazi wao wa nyumbani.

Penyenye zinasema buda aliwaarifu marafiki zake kuwa alimhurumia mkewe na kazi nzito za nyumbani na ndiposa akaamua kumtafutia yaya.

Alipofika nyumbani, buda alimwambia mkewe kwamba alimletea msichana wa kumsaidia kazi za nyumbani, lakini mkewe alikataa kwa kusema jukumu la kusaka msichana wa kazi halikuwa lake.

“Umesikia nikiteta kazidiwa na kazi? Kwa sasa simtaki msichana wa kunishika mkono. Ninawezana na majukumu yangu,”

aliteta mama, ikabidi buda ampe kipusa nauli ya kurejea alikokuwa akiishi.

Alama mbaya zilichukua eneo la Lanet, kaunti ya Nakuru baada ya mkewe kumkataa mrembo aliyetaka awe kijakazi wao wa nyumbani.

Be the first to react

Support

Support this reporting

M-Pesa support recorded against this story.

Send support →

Stay close

Get the briefing

Major updates by email. No spam.

Get email brief →

Share

Save share card

Download a clean portrait card for sharing.

Save image →