This archive report was first published on 15 July 2020.
Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) inaonekana kuwa imeathiriwa na ugonjwa wa COVID-19, baada ya Katibu Mkuu Esther Koimett kufichua kuwa afisa mmoja wa wizara hiyo amefariki kutokana na ugonjwa huo.
Aliongeza kuwa ofisi zote za Jumba la Teleposta, Post Bank na Jumba la Uchumi zitanyunyuziwa dawa siku ya Jumamisi, Julai 18, ili kuondoa viini vyote sakafuni.
Wafanyakazi wote watahitajika kufanyia kazi nyumbani, na kutakuwa na masharti makali ya kuingia ofisini, pasi kuidhinishwa na Katibu Mkuu.
Ugonjwa huo wa kupumua ambao ni janga la kimataifa naendelea kuvamia afisi za serikali, huku wafanyakazi wengine 10 kutoka Wizara ya Fedha wakipatwa na COVID-19.
Wafanyakazi wengine 10 kutoka Wizara ya Fedha walipatwa na COVID-19.