This archive report was first published on 15 July 2020.
Video ya Gavana wa Mombasa Hassan Joho akipiga tizi na kubakia kama simba ilichemsha mabinti, haswa mwimbaji Akothee.
Msanii Akothee alikuwa miongoni mwa wale waliomtazama Joho na mate kuwatoka baada ya kupata taswira ya mengine.
"Gavana wangu nambari moja, anavutia kama kawaida," alisema Akothee.
Video ya Joho akipiga tizi na kubakia ilionyesha nguvu za misuli yake huku akiinua vyuma kwa njia iliyoonyesha yuko sawa kabisa.
Uchunguzi wa Joho kufanya mazoezi na kuwaacha wafuasi wake, haswa wale wa kike, wakimwaga mate.
Uchunguzi wa Joho kufanya mazoezi na kuwaacha wafuasi wake, haswa wale wa kike, wakimwaga mate.