This archive report was first published on 14 July 2020.
Julai 13, 2020, jamaa wa miaka 30 alidungwa kisu usiku katika njia ya kutatanisha ndani ya baa moja eneo la kibiashara la Mucagara kaunti ya Kirinyaga.
Alidungwa kisu na bawabu wa baa moja eneo hilo, ambaye alikuwa na umri wa miaka 34, Denis Mwangi.
Alipokimbia kwa hospitali ya Kianyaga, alikufa dunia.
Kamanda wa Gichugu Anthony Mbogo alithibitisha kisa hicho na kufichua kwamba mshukiwa mmoja amekamatwa na anazuiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo.
Wakazi waliokuwa na ghadahbu wakiongozwa na mjumbe mteule Caroline Muriithi walishinikiza kuchukiliwa kwa hatua mshukiwa na mmiliki wa baa hiyo wakisema hii sio mara ya kwanza kwa kisa hicho kutendeka.
"Hatua kali zitachuliwa dhidi ya mshukiwa huyo, nakuhakikishia hilo," kamanda huyo alisema.